Unamfahamu Strive Masiyiwa? Unajua anafanya nini, wapi alipotokea, alipo sasa, kwanini anaweza kukufunza mengi katika safari yako ya kila siku ya ki-biashara, kama mwanajamii, philanthropist au hata Kiongozi katika jamii yako?
Kaa tayari kwa sababu kuna mengi sana utakayoyafurahia kutokana na mafundisho yake ambayo amekuwa akiyatoa hasa kupitia mitandao ya kijamii kwa muda mrefu sasa. Personally yeye ni mmoja wa watu wananihamasisha sana.
Article zake ziko katika lugha ya Kingereza (English) lakini ambayo ni nyepesi kwa mtu yeyote mwenye Basic English Knowledge skills kuelewa na kujifunza.
KARIBU SANA!