| President Barack Obama sits alongside his step-grandmother, Mama Sarah (L) and half-sister Auma Obama (R), during a gathering of family at his hotel in Nairobi, Kenya, July 24, 2015. |
Picture of the day: Obama's Family Re-union
Jul 25, 2015
''Nyumani ni Pazuri sana'': Hili linaweza kuwa neno linalofaa picha hii inayomwonyesha Rais wa Marekani Barack Hussein Obama akiwa na mama yake Sarah pamoja na dada yake Auma Obama alipozuru nchini Kenya siku ya Ijumaa tarehe 24 Julai