Kambi kuu ya Upinzani yatangaza baraza kivuli la Mawaziri

Feb 5, 2016




Kiongozi Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe, ametangaza baraza lake kivuli la Mawaziri na kuwasihi wahusika kutoa Ushirikiano kwa Baraza hilo alilolitangaza bungeni baada ya Maswali na Majibu.


Waliotangazwa Katika Orodha hiyo ni Pamoja na;



Ofisi ya Rais 
- TAMISEMI
Waziri - Jafar Maiko
Joseph Mkundi

- Utumishi
Waziri - Lucy Molel

Ofisi ya Makamu wa Rais
- Muungano
Waziri - Ali saleh A. Ali
Pauline Gekul

Ofisi ya Waziri Mkuu 
- Bunge, kazi na ajira
Waziri - Esther Bulaya
Naibu-Yusuph Makame
Naibu-Mafutar Abdallah

- Sera na mipango
Waziri - Halima Mdee
Naibu - Davidi Silinde

- Uchukuzi
Waziri - Injinia Mbatia
Naibu - Willy Kambalo

- Nishati na madini 
Waziri - John Mnyika 
Naibu- John Heche

- Mambo ya nje
Waziri - Peter Msigwa
Naibu- Riziki

Kilimo
Waziri - Magdalena Sakaya
Naibu Dr. Swalehe

Ulinzi
Waziri - Juma Hamad Omar
Naibu - Mwita Waitara 

- Mambo ya ndani
Waziri - Godbless Lema
Naibu- Masoud A Salim

- Ardhi
Waziri - Wilfred Lwakatare
Naibu- Salma Mohamed

- Maliasili na utalii
Waziri - Esta Matiko 
Naibu - Sesilia Pareso

- Viwanda Biashara na Uwezeshaji
Waziri - Kalist Komu
Naibu- Mwambe

- Elimu
Waziri - Suzan Lyimo
Naibu- Dr. Ally Suleiman Yusuph

- Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto
Waziri - Dk. Godwin Mollel



Naibu- Zubeda

- Habari 
Waziri - Joseph Mbilinyi
Naibu - Devota Minja

- Maji
Waziri - Hasan Bobali
Naibu - Peter Lijualikali

- Katiba na sheria
Waziri - Tundu Lissu
Naibu- Abdallah Mtolela


Share on :
 
Copyright © 2015 Raizoni Blog
Distributed By My Blogger Themes | Design By SPARTO Inc Team