Hali kama hii ya kukosa ueledi kwa kazi unayoifanya ni moja kati ya vitu vingi vinavyofanya fani kama za uandishi wa habari kwa vijana wa ki-Tanzania zisichanue katika uwanda wa kimataifa. Zaidi ya hivyo ni kuuhadaa umma kwa kusoma taarifa bila ueledi unaotakiwa.
Tunakumbuka yaliyotokea Rwanda mwaka 1994? Moja ya chanzo kikuu kilichochochea mapigano na mauaji ya halaiki ilikuwa ni vyombo vya habari vilivyokosa uadilifu na ueledi katika utoaji wa taarifa.
Tanzania Broadcasting Cooperation (TBC) imekosa uadilifu kwa hili...
Tazama video chini
Source: Simu.tv