Edward Lowassa ndani ya UKAWA rasmi... Utabiri umekamilika?

Jul 28, 2015

UKAWA

Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje” Hii ni moja ya sentensi ambazo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM.

''UKAWA tunahitaji viongozi wenye sifa, uwezo na weledi katika kulinda kuheshimu na kusimamia rasilimali za Taifa… Tunamwalika Edward Lowassa ajiunge na UKAWA na tuko tayari kushirikiana nae kuhakikisha tunaing’oa CCM madarakani kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.. Tunaamini ana uwezo wa kuhamasisha umma kuikataa CCM na udhalimu wake'' James Mbatia

UKAWAII

Waandishi wa habari wameitwa katika mkutano wa chama cha CHADEMA siku ya tarehe 28/07 na kutoka hapo taarifa kamili itawajia punde mkutano huo utakapokamilika
Share on :
 
Copyright © 2015 Raizoni Blog
Distributed By My Blogger Themes | Design By SPARTO Inc Team