
Taarifa za awali zilionyesha jinsi gani taasisi ya HSBC ilivyochangia katika upotevu wa fedha za kodi kwa kuruhusu miamala inayokinzana na sheria za taasisi za fedha duniani lakini vipi kuhusu wahusika hasa.
Tanzania na Afrika ya Mashariki 'tumefanya vizuri' kabisa katika list ya vinara, huku takribani dola milioni 114 ambazo ni sawa na Tshs 205 bilioni zilihamishwa kwenda Uswisi katika kipindi cha mwaka mmoja 2006/7, taarifa kutoka chanzo ndani ya International Consortium for Investigative Journalists (ICIJ) imeeleza.
SOURCE: The Citizen