
Nchini China siku ya wapendanao ni moja ya siku muhimu sana ambayo hufanyika mara mbili, kuna inayoitwa qixi, ambayo ni sawa na 'Chinese Valentine's Day' inayofanyika mwezi Agosti kila mwaka na ile inayofahamika 'al-maarufu' duniani amabayo itakua siku ya Jumamosi.
Lakini hasa, unapokuwa katika 'falme' kubwa ya nchini China utarajie nini hasa katika swala la mapenzi na mahusiano HASA inapokuja siku kama ya wapendanao?
1) Head to a park. They're a real-life Tinder
2) Unatokea mji wa Beijing? zingatia kazi tu hahaa..
3) Wazazi ni viungo muhimu sana nchini China. Wanaweza kuja pamoja na nyie kwenye 'outing'
4) Wewe ni mwanadada usie na mpenzi? Nenda nje ya mji

5) Ni mwanaume na huna mpenzi? nenda mjini. Zingatia gharama
6)Online dating

7) 'Kuazima' mpenzi wa mwenzio? ndio, unaweza kufanya hivyo mtandaoni
8) Huna uhakika na hisia zako, piga simu kwa mshauri wa mahusiano
Source: BBC