Uwanja mpya wa Real Madrid

Feb 12, 2015

Nchini Hispania kuna misemo mingi maarufu, kama vile sie Waswahili na misemo yetu. Yenye ladha, hamu, ku-kera wakati mwingine, kufundisha, kufurahisha lakini hasa tuangalie misemo hii miwili maarufu yenye uasili wa lugha ya ki-Hispania

1. Barriga llena, corazón contento.
Translation: Full stomach, happy heart. 


2. A falta de pan, buenas son tortas.
Translation: If there's no pan, cakes will do.
Meaning / English equivalent: Beggars can't be choosers. 

        Swahili meaning: Maskini hachagui

Klabu ya Real Madrid inazidi kuonyesha mabavu yake na.... inastahili! Klabu tajiri zaidi duniani, wachezaji bora kabisa na juu ya yote, kwa lugha rahisi 'wanasema' m-hispania ni nadhifu.



 
 
Picha: Rais wa klabu ya Real Madrid Valentino Peres akionyesha 'Architectural Design' ya uwanja huo mpya unaotarajiwa kuwa ukikamilika utachukua watazamaji 90,000 na utakua moja ya viwanja bora kabisa katika karne ya 21.

Image result for real madrid new stadiumhttps://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRkb8CXCKBQAYRsfp4YlNyiOPI33uIpjT3wOcTAS6Qjca0XdCelaw

Getting up very early won´t make the sun rise any sooner - See more at: http://www.spanish-learning-corner.com/famous-spanish-sayings.html#sthash.bkCVhSfk.dpuf
No por mucho madrugar amanece más temprano
No por mucho madrugar amanece más temprano
No por mucho madrugar amanece más temprano
No por mucho madrugar amanece más temprano
Share on :
 
Copyright © 2015 Raizoni Blog
Distributed By My Blogger Themes | Design By SPARTO Inc Team