
Jumla ya Magoli
Barca Vs Bayern ( 5 - 3 )
Mechi ya Kwanza (Barca nyumbani walishinda goli 3-0)
Mechi ya Pili (Bayern nyumbani wameshinda goli 3-2)
Barcelona wanasubiri mshindi kati ya Juventus na Real Madrid ambae watacheza nae katika mtanange wa fainali
