
Kipindupindu Noma! Huruki wala hukimbii!
Askari magereza kutoka Gereza la Shimo La Tewa akiwa na wafungwa wa gereza hilo walipoenda kupata matibabu katika Hospitali ya Coast General Hospital baada ya mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu kwenye gereza lao.
Hamna pingu wala 'ulinzi mkali kiivyo' sawa na jina la gereza lilivyo, utakimbilia wapi sasa na hali kama hiyo?