Unaianzaje Weekend yako leo?

May 15, 2015



Wiki imekua nzito sana jijini Dar Es Salaam, mvua, foleni, kazi, familia na megine mengi lakini Mziki ni Tiba na ukiongelea Tiba lazima Daktari awepo. Mwanamuziki tunaweza kusema ndiye Doktari.

Hisia, Grace Matata, Damian Soul na wengine wengi watatoa tiba kwa muziki bora kabisa siku ya Jumamosi pale Thai Village kwa kiingilio cha sh. 15,000/= tu
Ifanye weekend yako iwe ni ya kipekee kwa kuhudhuria 'Muziki huu mzuri wa Hisia'
You don't want to miss this!

Msikilize Hisia mwenyewe akiongelea tamasha hilo hapa chini

Share on :
 
Copyright © 2015 Raizoni Blog
Distributed By My Blogger Themes | Design By SPARTO Inc Team