![]() |
| Wachezaji wa Taifa Stars katika moja ya vipindi vya mazoezi. Picha kwa msaada wa intaneti |
Rais Mstaafu Ali Hassani Mwinyi aliwahi kusema Tanzania kwa michezo ni kichwa cha mwendawazimu. Ilikuwa ni usemi tu au ndio utabiri kabisa, hatujui ila Taifa Stars tayari wako nje ya Cosafa baada ya mechi mbili tu za mwanzo za mashindano hayo kwa 'kuumia' mbele ya nchi za Madagascrar na Swaziland.
MECHI YA KWANZA
Taifa Stars Vs Swaziland matokeo ilikua 0-1
MECHI YA PILI
Taifa Stars Vs matokeo imekuwa 0-2
