Tuzo za Watu 2015 : Washindi

May 23, 2015




Sneek-peek ya Washindi wa Tuzo Za Watu 2015 zilizofanyika Hyatt Regency Hotel, Dar Es Salaam Tanzania.

  • Muigizaji wa Kike anayependwa ni Wema Sepetu
  • Filamu Inayopendwa ni Kigodoro ya Zamaradi Mketema
  • Muongozaji wa Filamu anayependwa ni Vicent "Ray" Kigosi
  • Mwigizaji wa kiume anayependwa ni Hemed
  • Blog/Tovuti inayopendwa ni tovuti ya Milard Ayo
  • Kipindi cha Luninga kinachopendwa MkasiTV
  • Kipindi cha "Papaso" cha TBC FM kimeshinda tuzo ya Kipindi cha Radio kinachopendwa
  • Mtangazaji wa radio anayependwa ni D'Jaro kutoka TBC FM
  • Hanscana ameshinda kama mshindi wa Music Video Director bora
  • 'Song bird' Lady Jaydee ameshinda kipengele cha mwanamziki wa Kike aliyependwazaidi

Share on :
 
Copyright © 2015 Raizoni Blog
Distributed By My Blogger Themes | Design By SPARTO Inc Team