
Angalia baadhi ya vichwa vya habari kutoka vyanzo mbalimbali lakini kwa habari zilizothibitishwa mpaka sasa na Ikulu ya nchini Burundi ni kwamba jaribio la kuangusha Utawala wa Nkurunzinza halijafanikiwa ingawa vilevile hamna taarifa rasmi juu ya mahali alipo Bw. Nkurunziznza.
BBC Swahili.com
DW Idhaa ya Kiswahili
Hatma ya Rais Nkurunziza haijulikani baada ya mapinduzi
Reuters
CNN
Daily News
Salim Kikeke (Mwanahabari kutoka BBC katika ujumbe wake kupitia mtandao wa Facebook)
Mwanaharakati Mzalendo Blog :